sw_tn/jer/40/05.md

16 lines
187 B
Markdown

# Gedalia ... Ahikamu ... Shafani
Haya ni majina ya watu
# Kati ya watu
"kati ya Wayahudi"
# Ni njema machoni pako
"unayofikiri ni nzuri"
# Waliosalia katika nchi
"waliobaki Yuda"