# Gedalia ... Ahikamu ... Shafani Haya ni majina ya watu # Kati ya watu "kati ya Wayahudi" # Ni njema machoni pako "unayofikiri ni nzuri" # Waliosalia katika nchi "waliobaki Yuda"