sw_tn/jer/39/04.md

406 B

Wakaenda nje usiku toka mjini kwa njia ya bustani ya mfalme

"waliondoka mjini usiku wakaenda kupitia njia ya bustani ya mfalme"

Nchi tambarare ya Yeriko

Hii ni nchi iliyo tambarare iliyoko kusini mwa bonde.

Ribla katika nchi ya Hamathi

Ribla ulikuwa mji katika himaya ya Hamathi.

wakawafuata na kuwapata

"wakawafuata na kuwakamata"

Wakatoa hukumu juu yake

"wakaamua namna ya kumuhukumu"