sw_tn/jer/39/04.md

20 lines
406 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wakaenda nje usiku toka mjini kwa njia ya bustani ya mfalme
"waliondoka mjini usiku wakaenda kupitia njia ya bustani ya mfalme"
# Nchi tambarare ya Yeriko
Hii ni nchi iliyo tambarare iliyoko kusini mwa bonde.
# Ribla katika nchi ya Hamathi
Ribla ulikuwa mji katika himaya ya Hamathi.
# wakawafuata na kuwapata
"wakawafuata na kuwakamata"
# Wakatoa hukumu juu yake
"wakaamua namna ya kumuhukumu"