sw_tn/jer/37/14.md

24 lines
250 B
Markdown

# Hiyo sio kweli
"Huo ni uongo"
# kutohamina
"kutokukimbia"
# Yeria
Hili ni jina la mtu.
# Wakuu
Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 1:17
# Walikuwa na hasira
"walikuwa na hasira sana"
# Yonathani mwandishi
"Yonathani aliyekuwa mwandishi"