sw_tn/jer/37/14.md

250 B

Hiyo sio kweli

"Huo ni uongo"

kutohamina

"kutokukimbia"

Yeria

Hili ni jina la mtu.

Wakuu

Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 1:17

Walikuwa na hasira

"walikuwa na hasira sana"

Yonathani mwandishi

"Yonathani aliyekuwa mwandishi"