sw_tn/jer/37/11.md

32 lines
428 B
Markdown

# Ilikuwa
"Ikawa" Neno hili lilitumika kuonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.
# Eneo la nchi
"sehemu ya nchi"
# Kati ya watu wake
"kati ya ndugu zake" Yeremia alikua anatoka katika mji wa Anasosi katika nchi ya Benyamini.
# Lango la Benyamini
Hili ni jina la mlango.
# Yeria
Hili ni jina la mtu
# Shelemia
Hili ni jina la mtu
# Hanania
Hili ni jina la mtu.
# Kuhamia kwa Wakaldayo
"Kukimbilia kwa Wakaldayo"