sw_tn/jer/37/11.md

428 B

Ilikuwa

"Ikawa" Neno hili lilitumika kuonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.

Eneo la nchi

"sehemu ya nchi"

Kati ya watu wake

"kati ya ndugu zake" Yeremia alikua anatoka katika mji wa Anasosi katika nchi ya Benyamini.

Lango la Benyamini

Hili ni jina la mlango.

Yeria

Hili ni jina la mtu

Shelemia

Hili ni jina la mtu

Hanania

Hili ni jina la mtu.

Kuhamia kwa Wakaldayo

"Kukimbilia kwa Wakaldayo"