sw_tn/jer/36/30.md

255 B

Hatakaa katika ufalme wa Daudu

"hatatawala kama mrithi wa Daudi"

Maiti yako itatupwa nje

"watu wataitupa maiti yako nje"

maiti yako

"mwili wako uliokufa"

kwenye siku ya jua

"ili itolewe katika siku yenye joto"

ninyi nyote

"ninyi nyote"