# Hatakaa katika ufalme wa Daudu "hatatawala kama mrithi wa Daudi" # Maiti yako itatupwa nje "watu wataitupa maiti yako nje" # maiti yako "mwili wako uliokufa" # kwenye siku ya jua "ili itolewe katika siku yenye joto" # ninyi nyote "ninyi nyote"