sw_tn/jer/36/13.md

239 B

Mikaya

Hili ni jina la mtu.

Akawasili kwao

Neno "kwao" linamaanisha wakuu.

kwenye masikio ya watu

"ili watu wasikie"

Yehudi ... Nethania ... Shelemia ... Kushi

Haya ni majina ya watu.

soma kitabu

"soma kitabu kwa nguvu"