# Mikaya Hili ni jina la mtu. # Akawasili kwao Neno "kwao" linamaanisha wakuu. # kwenye masikio ya watu "ili watu wasikie" # Yehudi ... Nethania ... Shelemia ... Kushi Haya ni majina ya watu. # soma kitabu "soma kitabu kwa nguvu"