sw_tn/jer/36/09.md

720 B

Ikawa

"ikatokea" Neno hili limetumika kuonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi mpya.

katika mwaka wa tano na mwezi wa tisa

Huu ni mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiebrania. Ni katika kipindi cha mwisho cha Novemba na mwanzo wa Disemba kwa kalenda ya Mashariki.

Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda

Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 25:1

kutangaza mfungo

"kutoa wito kwa kila mtu kushiriki katika mfungo"

Gemaria mwana wa Shafani

Haya ni majina ya watu.

mwandishi

"aliyekuwa mwandishi"

katika lango la kuingilia nyumbani mwa Bwana

"katika lango jipya la kuingilia katika nyumba ya Bwana"

Alifanya hivi

Alisoma kwa nguvu maneno ya Yeremia.

katika masikio ya

"katika masikio ya Yerusalemu"