forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
720 B
Markdown
36 lines
720 B
Markdown
|
# Ikawa
|
||
|
|
||
|
"ikatokea" Neno hili limetumika kuonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi mpya.
|
||
|
|
||
|
# katika mwaka wa tano na mwezi wa tisa
|
||
|
|
||
|
Huu ni mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiebrania. Ni katika kipindi cha mwisho cha Novemba na mwanzo wa Disemba kwa kalenda ya Mashariki.
|
||
|
|
||
|
# Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda
|
||
|
|
||
|
Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 25:1
|
||
|
|
||
|
# kutangaza mfungo
|
||
|
|
||
|
"kutoa wito kwa kila mtu kushiriki katika mfungo"
|
||
|
|
||
|
# Gemaria mwana wa Shafani
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya watu.
|
||
|
|
||
|
# mwandishi
|
||
|
|
||
|
"aliyekuwa mwandishi"
|
||
|
|
||
|
# katika lango la kuingilia nyumbani mwa Bwana
|
||
|
|
||
|
"katika lango jipya la kuingilia katika nyumba ya Bwana"
|
||
|
|
||
|
# Alifanya hivi
|
||
|
|
||
|
Alisoma kwa nguvu maneno ya Yeremia.
|
||
|
|
||
|
# katika masikio ya
|
||
|
|
||
|
"katika masikio ya Yerusalemu"
|