sw_tn/jer/35/18.md

213 B

Warekabi.

Hili ni jina la kabila la watu. Angalia ufafanuzi katika mstari wa kwanza katika sura hii ya 35.

Yonadabu ... Rekabu.

Haya ni majina ya kiume. Pia angalia mstari wa kwanza katika sura hii ya 35.