# Warekabi. Hili ni jina la kabila la watu. Angalia ufafanuzi katika mstari wa kwanza katika sura hii ya 35. # Yonadabu ... Rekabu. Haya ni majina ya kiume. Pia angalia mstari wa kwanza katika sura hii ya 35.