sw_tn/jer/34/17.md

12 lines
324 B
Markdown

# Kwa hiyo angalia! Niko karibu kutangaza uhuru kwenu ... uhuru wa upanga, tauni, na njaa.
"Kwa hiyo, kwa sababu hamjanitii, nitaruhusu muadhibiwe kwa upanga, tauni, na njaa."
# Kwa hiyo angalia.
"Sikiliza" au kuwa makini kusikia kitu muhimu ambacho naenda kukisema."
# Walilithibisha mbele zangu.
"Walikubalina nami."