sw_tn/jer/34/17.md

324 B

Kwa hiyo angalia! Niko karibu kutangaza uhuru kwenu ... uhuru wa upanga, tauni, na njaa.

"Kwa hiyo, kwa sababu hamjanitii, nitaruhusu muadhibiwe kwa upanga, tauni, na njaa."

Kwa hiyo angalia.

"Sikiliza" au kuwa makini kusikia kitu muhimu ambacho naenda kukisema."

Walilithibisha mbele zangu.

"Walikubalina nami."