sw_tn/jer/34/15.md

197 B

Yaliyomema katika macho yangu.

"Yalisahihi" au "yanayokubalika."

Kulichafua jina langu.

"Waliacha kufanya mema na kufanya mambo maovu ambayo yamewafanya watu wafikiri kwamba mimi ni mwovu."