# Yaliyomema katika macho yangu. "Yalisahihi" au "yanayokubalika." # Kulichafua jina langu. "Waliacha kufanya mema na kufanya mambo maovu ambayo yamewafanya watu wafikiri kwamba mimi ni mwovu."