sw_tn/jer/32/26.md

308 B

Neno la Mungu likaja kwa Yeremia likisema.

"Hiki ndicho alicho Yahwe alimwamabia Yeremia."

Kun kitu chochote kigumu sana kwangu kukifanya?

Yahwe anatumia swali kusisitiza kwamba anaweza kufanya chochote.

Kwenye mikono ya Wakaldayo.

Katika sentensi hii neno "mkono" linawakilisha nguvu au umiliki.