sw_tn/jer/32/26.md

12 lines
308 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la Mungu likaja kwa Yeremia likisema.
"Hiki ndicho alicho Yahwe alimwamabia Yeremia."
# Kun kitu chochote kigumu sana kwangu kukifanya?
Yahwe anatumia swali kusisitiza kwamba anaweza kufanya chochote.
# Kwenye mikono ya Wakaldayo.
Katika sentensi hii neno "mkono" linawakilisha nguvu au umiliki.