sw_tn/jer/32/16.md

587 B

Maelezo ya jumla:

Yeremia anaendelea kuzungumza.

Hati ya manunuzi.

Hii ina maana ya nyaraka au barua iliyotiwa muhuri na ile isiyo tiwa muhuri.

Ole.

"Huzuni"

Kwa nguvu zako kuu na kwa mkono wako ulioinuka.

Kirai "ulioinuka" ni namna ya kuelezea nguvu. Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja na vinaelezea ukuu wa Yahwe. "Kwa nguvu zako kuu."

Wewe huonesha agano l uaminifu.

"Unatunza ahadi zako na kuonesha uaminifu wa upendo wako."

Na kumimina makosa ya wanadamu katika mapaja ya watoto wao baada yao.

"Na huwaadhibu watoto kwa sababu ya dhambi za baba zao."