forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
587 B
Markdown
24 lines
587 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Yeremia anaendelea kuzungumza.
|
||
|
|
||
|
# Hati ya manunuzi.
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya nyaraka au barua iliyotiwa muhuri na ile isiyo tiwa muhuri.
|
||
|
|
||
|
# Ole.
|
||
|
|
||
|
"Huzuni"
|
||
|
|
||
|
# Kwa nguvu zako kuu na kwa mkono wako ulioinuka.
|
||
|
|
||
|
Kirai "ulioinuka" ni namna ya kuelezea nguvu. Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja na vinaelezea ukuu wa Yahwe. "Kwa nguvu zako kuu."
|
||
|
|
||
|
# Wewe huonesha agano l uaminifu.
|
||
|
|
||
|
"Unatunza ahadi zako na kuonesha uaminifu wa upendo wako."
|
||
|
|
||
|
# Na kumimina makosa ya wanadamu katika mapaja ya watoto wao baada yao.
|
||
|
|
||
|
"Na huwaadhibu watoto kwa sababu ya dhambi za baba zao."
|