forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
587 B
Markdown
24 lines
587 B
Markdown
# Maelezo ya jumla:
|
|
|
|
Yeremia anaendelea kuzungumza.
|
|
|
|
# Niliandika katika barua na kuitia muhuri, na palikuwa na mashahidi waikaishuhudia.
|
|
|
|
Hii ni aina ya sahihi ambayo mtu alipaswa kusaini kwa ajili ya kununua ardhi. Watu wengine walipaswa kuwepo kwa ajili ya kushuhudia kwamba nimeinunua adrdhi hiyo.
|
|
|
|
# Kulikuwa na mashahidi wakaishuhudia.
|
|
|
|
"Palaikuwa na mashahidi ili waone kwamba nimeinunu ardhi hiyo."
|
|
|
|
# Ambayo ilikuwa imepigwa amuhuri.
|
|
|
|
"Niliyoipiga muhuri."
|
|
|
|
# Baruku ... Neria ... Maaseya.
|
|
|
|
Haya ni majina ya kiume.
|
|
|
|
# Uwanja wa walinzi.
|
|
|
|
Angalia ufafanuzi kutoka sura ya 32:1.
|