sw_tn/jer/32/10.md

587 B

Maelezo ya jumla:

Yeremia anaendelea kuzungumza.

Niliandika katika barua na kuitia muhuri, na palikuwa na mashahidi waikaishuhudia.

Hii ni aina ya sahihi ambayo mtu alipaswa kusaini kwa ajili ya kununua ardhi. Watu wengine walipaswa kuwepo kwa ajili ya kushuhudia kwamba nimeinunua adrdhi hiyo.

Kulikuwa na mashahidi wakaishuhudia.

"Palaikuwa na mashahidi ili waone kwamba nimeinunu ardhi hiyo."

Ambayo ilikuwa imepigwa amuhuri.

"Niliyoipiga muhuri."

Baruku ... Neria ... Maaseya.

Haya ni majina ya kiume.

Uwanja wa walinzi.

Angalia ufafanuzi kutoka sura ya 32:1.