forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
585 B
Markdown
12 lines
585 B
Markdown
# Nitakapoipanda nyumba ya Israeli na Yuda na wazawa wa wanadamu na wa wanyama.
|
|
|
|
"Niwaongeza wanadamu na wanyama kama mkulima apandavyo mazao" au "nitaiiongeza idadi ya wtu na wanyama katika falme za Israeli na Yuda."
|
|
|
|
# Niliwaweka katika uangalizi ili kuwang'oa na kuwabomoa.
|
|
|
|
"Nilitafuta njia ya kuwang'oa."
|
|
|
|
# Kuwang'oa ... kuwabomoa ... kuwaangusha ... kuwaharibu.
|
|
|
|
Kung'oa ni kuvuta na kutoa mmea kutoka ardhini; ni kinyume cha kupanda. Kuangusha ni kinyume cha kjenga..Yeremia anatumia maneno haya ambayo karibu yana maana sawa ili kuonesha kuwa kwa hakika mambo haya yatatokea.
|