sw_tn/jer/31/27.md

585 B

Nitakapoipanda nyumba ya Israeli na Yuda na wazawa wa wanadamu na wa wanyama.

"Niwaongeza wanadamu na wanyama kama mkulima apandavyo mazao" au "nitaiiongeza idadi ya wtu na wanyama katika falme za Israeli na Yuda."

Niliwaweka katika uangalizi ili kuwang'oa na kuwabomoa.

"Nilitafuta njia ya kuwang'oa."

Kuwang'oa ... kuwabomoa ... kuwaangusha ... kuwaharibu.

Kung'oa ni kuvuta na kutoa mmea kutoka ardhini; ni kinyume cha kupanda. Kuangusha ni kinyume cha kjenga..Yeremia anatumia maneno haya ambayo karibu yana maana sawa ili kuonesha kuwa kwa hakika mambo haya yatatokea.