sw_tn/jer/31/18.md

634 B

Uliniadhibu, nami nieadhibika.

Kurudiwa kwa maneno haya kunaashiria aidha ukali wa hasira ya Yahwe, au jinsi ilivyo na nguvu hasira yake: "Uliniadhibu sana" au "uliniadhibu, na nimejifunza kutokana na adhabu hiyo."

Nirudishe.

Efraimu anamwomba Mungu ampe moyo wa kufundishika kama ndama asiye na mafunzo.

Niliaibika na kudharirika.

Neno "kuaibika" na "kudharirika" kimsingi yana maana ya moja, na yanaweka mkazo kuhusu swala la kuaibika. "Niliaibika kweli kweli."

Efraimu siyo mtoto wangu wa thamani? Yeye si mpendwa wangu, mwanangu nimpendaye?

"Efraaaimu ni mwanangu wa thamani. Ni mpendwwa wangu, mwanangu nimpedaye.