sw_tn/jer/31/18.md

16 lines
634 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Uliniadhibu, nami nieadhibika.
Kurudiwa kwa maneno haya kunaashiria aidha ukali wa hasira ya Yahwe, au jinsi ilivyo na nguvu hasira yake: "Uliniadhibu sana" au "uliniadhibu, na nimejifunza kutokana na adhabu hiyo."
# Nirudishe.
Efraimu anamwomba Mungu ampe moyo wa kufundishika kama ndama asiye na mafunzo.
# Niliaibika na kudharirika.
Neno "kuaibika" na "kudharirika" kimsingi yana maana ya moja, na yanaweka mkazo kuhusu swala la kuaibika. "Niliaibika kweli kweli."
# Efraimu siyo mtoto wangu wa thamani? Yeye si mpendwa wangu, mwanangu nimpendaye?
"Efraaaimu ni mwanangu wa thamani. Ni mpendwwa wangu, mwanangu nimpedaye.