forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
580 B
Markdown
12 lines
580 B
Markdown
# Yule aliyemtawanya Israeli anamkusanya tena.
|
|
|
|
"Niliwafanya watu wangu kutawanyika kati ya mataifa, lakini nawarudisha nyumbani sasa."
|
|
|
|
# Kama mchungaji alindavyo kondoo zake.
|
|
|
|
Hii inamaana akuwa Mungu anatunza na kulinda watu wake kama vile mchungaji alindavyo kondoo zake.
|
|
|
|
# Kwa maana Yahwe amemfidia Yakobo na kumkomboa kutoka mkono ambao ulikuwa na nguvu sana kwake.
|
|
|
|
Virai hivi viwili vina maana ya kitu kimoja, na visisitiza kwamba Yahwe ndiye aliyewaokoa watu wa Israeli: "Maana Yahwe amewaokoa watu wa Israeli dhidi ya adui yao ambaye alikuwa na nguvu sana kuliko wao."
|