sw_tn/jer/31/10.md

580 B

Yule aliyemtawanya Israeli anamkusanya tena.

"Niliwafanya watu wangu kutawanyika kati ya mataifa, lakini nawarudisha nyumbani sasa."

Kama mchungaji alindavyo kondoo zake.

Hii inamaana akuwa Mungu anatunza na kulinda watu wake kama vile mchungaji alindavyo kondoo zake.

Kwa maana Yahwe amemfidia Yakobo na kumkomboa kutoka mkono ambao ulikuwa na nguvu sana kwake.

Virai hivi viwili vina maana ya kitu kimoja, na visisitiza kwamba Yahwe ndiye aliyewaokoa watu wa Israeli: "Maana Yahwe amewaokoa watu wa Israeli dhidi ya adui yao ambaye alikuwa na nguvu sana kuliko wao."