sw_tn/jer/31/08.md

420 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema.

Ona.

"Sikilizeni" au "iweni wasikivu."

Kuwaleta.

Neno "kuwaleta" linawataja Waisraeli.

Nitakuwa baba kwa Israeli, na Efraimu atakuwa mzaliwa wangu wa kwanza.

Hapa, "Efraimu" ni jina jingine la "Israeli". 'Nitakuwa kama baba kwa watu wa Israeli, na watakuwa kama mtoto wangu wa kwanza"

Mzaliwa wangu wa kwanza.

Mzaliwa wa kwanza anaheshima na jukumu maalumu.