forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
420 B
Markdown
20 lines
420 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kusema.
|
||
|
|
||
|
# Ona.
|
||
|
|
||
|
"Sikilizeni" au "iweni wasikivu."
|
||
|
|
||
|
# Kuwaleta.
|
||
|
|
||
|
Neno "kuwaleta" linawataja Waisraeli.
|
||
|
|
||
|
# Nitakuwa baba kwa Israeli, na Efraimu atakuwa mzaliwa wangu wa kwanza.
|
||
|
|
||
|
Hapa, "Efraimu" ni jina jingine la "Israeli". 'Nitakuwa kama baba kwa watu wa Israeli, na watakuwa kama mtoto wangu wa kwanza"
|
||
|
|
||
|
# Mzaliwa wangu wa kwanza.
|
||
|
|
||
|
Mzaliwa wa kwanza anaheshima na jukumu maalumu.
|