sw_tn/jer/31/04.md

16 lines
295 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema kwa watu wa Israeli.
# Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa.
"Nitakufanya imara tena" au nitakufanikisha tena."
# Bikra Israeli.
Angalia sura ya 1
# Ngoma.
Chombo cha muziki ambacho hutoa sauti kinapopigwa pembeni kwa vipande vya chuma.