sw_tn/jer/31/04.md

295 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema kwa watu wa Israeli.

Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa.

"Nitakufanya imara tena" au nitakufanikisha tena."

Bikra Israeli.

Angalia sura ya 1

Ngoma.

Chombo cha muziki ambacho hutoa sauti kinapopigwa pembeni kwa vipande vya chuma.