sw_tn/jer/30/23.md

4 lines
204 B
Markdown

# Ona, tufni ya Yahwe, ghadhabuyake, imekwenda nje.
Maneno haya yanailinganisha adhabu na ghadhabu au hasira ya Mungu na tufani.Hii inaweka msisitizo kuhusu nguvu na uwezo wake wa kuwaharibu watu waovu.