# Ona, tufni ya Yahwe, ghadhabuyake, imekwenda nje. Maneno haya yanailinganisha adhabu na ghadhabu au hasira ya Mungu na tufani.Hii inaweka msisitizo kuhusu nguvu na uwezo wake wa kuwaharibu watu waovu.