sw_tn/jer/30/16.md

856 B

Kila mtu akulaye ataliwa, na adui zako wote watend utumwani.

Sentensi hizi mbil zina maana moja. Sentensi ya pili inaimarisha wazo lililosemwa katika sentensi ya kwanza. "Mataifa yote waliowafanya watumwa watafanywa kuwa watumwa."

Kila akulaye ataliwa.

"Wanaowaangamizi ninyi, wataangamizwa na adui zao."

Kwa maana kila aliyekuteka nyara atatekwa, na nitawafanya wote wanaokuwinda kuwa mawindo.

Sentensi hizi mbili zina maana moja. Sentensi ya pili inalipa nguvu wazo la kwanza."Nitawafanya adui za wale walioiba vitu kutoka kwenu katika vita, kuiba vitu kutoka kwao.

Walikuita:Mwenye kutupwa.

Aliyetupwa au aliyetengwa ni mtu ambaye hakubaliwi na watu wengine wala kuruhusiwa kushirikiana na wengine: "waliwaita: 'waliokataliwa au 'walisema, 'hakuna mtu anayekutaka."

Hakuna mtu anayeujali Sayuni.

"Hakuna mtu anayejali kuhusu Sayuni."