forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
856 B
Markdown
20 lines
856 B
Markdown
|
# Kila mtu akulaye ataliwa, na adui zako wote watend utumwani.
|
||
|
|
||
|
Sentensi hizi mbil zina maana moja. Sentensi ya pili inaimarisha wazo lililosemwa katika sentensi ya kwanza. "Mataifa yote waliowafanya watumwa watafanywa kuwa watumwa."
|
||
|
|
||
|
# Kila akulaye ataliwa.
|
||
|
|
||
|
"Wanaowaangamizi ninyi, wataangamizwa na adui zao."
|
||
|
|
||
|
# Kwa maana kila aliyekuteka nyara atatekwa, na nitawafanya wote wanaokuwinda kuwa mawindo.
|
||
|
|
||
|
Sentensi hizi mbili zina maana moja. Sentensi ya pili inalipa nguvu wazo la kwanza."Nitawafanya adui za wale walioiba vitu kutoka kwenu katika vita, kuiba vitu kutoka kwao.
|
||
|
|
||
|
# Walikuita:Mwenye kutupwa.
|
||
|
|
||
|
Aliyetupwa au aliyetengwa ni mtu ambaye hakubaliwi na watu wengine wala kuruhusiwa kushirikiana na wengine: "waliwaita: 'waliokataliwa au 'walisema, 'hakuna mtu anayekutaka."
|
||
|
|
||
|
# Hakuna mtu anayeujali Sayuni.
|
||
|
|
||
|
"Hakuna mtu anayejali kuhusu Sayuni."
|