sw_tn/jer/30/06.md

551 B

Ulizeni na muone kama mwanaume anazaa mtoto.

"Hakuna mwanaume aliyewahi kujifungua mtoto."

Utakuwa wakati wa huzzuni kwa Yakobo, lakini ataokolewa.

"Kwa vizazi vya Yakobo, lakini nitawaokoa."

Mbona ninamwona kila mwanaume kijana ameshika mikono yake juu ya kiuno chake? Kama mwanamke anayejifungua mtoto, Kwa nini nyuso zao zote zimegeuka rangi?

Yahwe anatumia maswali haya ili kusisitiza jinsi wanaume walivyoogopa. "Bado wanaume vijana wanshikilia vitovu vyao kama mwanamke anayejifungua; wote wanaonekana wagonjwa kwa sababu wameogopa."