forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
551 B
Markdown
12 lines
551 B
Markdown
|
# Ulizeni na muone kama mwanaume anazaa mtoto.
|
||
|
|
||
|
"Hakuna mwanaume aliyewahi kujifungua mtoto."
|
||
|
|
||
|
# Utakuwa wakati wa huzzuni kwa Yakobo, lakini ataokolewa.
|
||
|
|
||
|
"Kwa vizazi vya Yakobo, lakini nitawaokoa."
|
||
|
|
||
|
# Mbona ninamwona kila mwanaume kijana ameshika mikono yake juu ya kiuno chake? Kama mwanamke anayejifungua mtoto, Kwa nini nyuso zao zote zimegeuka rangi?
|
||
|
|
||
|
Yahwe anatumia maswali haya ili kusisitiza jinsi wanaume walivyoogopa. "Bado wanaume vijana wanshikilia vitovu vyao kama mwanamke anayejifungua; wote wanaonekana wagonjwa kwa sababu wameogopa."
|