sw_tn/jer/29/18.md

440 B

Kushangaza, kitu cha kulaaniwa na kuzomewa, na kitu cha aibu.

Maneno haya yote kwa pamoja yana maana moja na yanaelezea jinsi watu wa mataifa mengine watakavyoitikia watakapoona alichofanya Yahwe kwa watu wa Yuda.

Kulaaniwa na kuzomewa.

Neno "kuzomewa" yana maana aya sauati kubwa za kukataliwa ambayo watu huyasema wanaposema jambo baya kuhusu wengine. Kirai kimsingi kina maana moja na neno kama "laana."

Kusikiliza

"kutii."