forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
440 B
Markdown
12 lines
440 B
Markdown
|
# Kushangaza, kitu cha kulaaniwa na kuzomewa, na kitu cha aibu.
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yote kwa pamoja yana maana moja na yanaelezea jinsi watu wa mataifa mengine watakavyoitikia watakapoona alichofanya Yahwe kwa watu wa Yuda.
|
||
|
|
||
|
# Kulaaniwa na kuzomewa.
|
||
|
|
||
|
Neno "kuzomewa" yana maana aya sauati kubwa za kukataliwa ambayo watu huyasema wanaposema jambo baya kuhusu wengine. Kirai kimsingi kina maana moja na neno kama "laana."
|
||
|
|
||
|
# Kusikiliza
|
||
|
|
||
|
"kutii."
|