sw_tn/jer/29/10.md

177 B

Maelezo ya jumla:

Yaahwe anaendelea kusema yale yatakayotokea kwa Waisraeli mateka.

Ninyi.

Hawa ni Waisraeli ambao ni mateka katika Babeli.

Miaka sabini.

"Miaka 70."