# Maelezo ya jumla: Yaahwe anaendelea kusema yale yatakayotokea kwa Waisraeli mateka. # Ninyi. Hawa ni Waisraeli ambao ni mateka katika Babeli. # Miaka sabini. "Miaka 70."