sw_tn/jer/28/08.md

8 lines
231 B
Markdown

# Manabii ambao walikuwepo mbele yangu na mbele yenu
"Manabii walioishi kabla yangu na kabla yenu."
# Basi itajulikana kwamba yeye ni nabii kweli aliyetumwa na Yahwe.
"Kisha utajua kweli kwamba yeye ni nabii wa kweli wa Yahwe."