sw_tn/jer/28/08.md

231 B

Manabii ambao walikuwepo mbele yangu na mbele yenu

"Manabii walioishi kabla yangu na kabla yenu."

Basi itajulikana kwamba yeye ni nabii kweli aliyetumwa na Yahwe.

"Kisha utajua kweli kwamba yeye ni nabii wa kweli wa Yahwe."