forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
469 B
Markdown
12 lines
469 B
Markdown
# Maelezo ya jumla:
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia.
|
|
|
|
# Niwekeni shingo zenu chini ya nira ya mfalme wa Babeli.
|
|
|
|
Mungu anawataka Yuda kumtii na kumtumikia Babeli kama mfalme wao.
|
|
|
|
# Kwa nini mfa-wewe na watu wako-kwa upanga, njaa, na pigo, kama vile nilivyotangaza kuhusu taifa ambalo watapuuza kumtumikia mfalme wa Babeli?
|
|
|
|
"Utakufa, wewe na watu wako, kwa upanga, njaa, na pigo, kama avile nilivyotangaza kama hamtamtumikia mfalme wa Babeli.
|