sw_tn/jer/27/12.md

469 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia.

Niwekeni shingo zenu chini ya nira ya mfalme wa Babeli.

Mungu anawataka Yuda kumtii na kumtumikia Babeli kama mfalme wao.

Kwa nini mfa-wewe na watu wako-kwa upanga, njaa, na pigo, kama vile nilivyotangaza kuhusu taifa ambalo watapuuza kumtumikia mfalme wa Babeli?

"Utakufa, wewe na watu wako, kwa upanga, njaa, na pigo, kama avile nilivyotangaza kama hamtamtumikia mfalme wa Babeli.